Happy Birthday Shunie......!!!!

Happy Birthday Shunie......!!!!

Hahaha nilianza kwa kusema nina miaka 42 watu wakawa wanaamini mwisho wa siku wanakuja kunifahamu wanakuta nina miaka 22 wanaanza kushangaa ni wewe kweli mwenye mineno yote ile kule JF nawaambia ni mimi,, sasa mwisho wa siku nikaona isiwe taabu acha niseme tu umri wangu halisi ili kusudi tukifahamiana tusishangaane tena..

Sent using Jamii Forums mobile app
Usisubutu kusema ukweli humu jf hata mkijuana hakitaharibika kitu
 
Back
Top Bottom