Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani kuona mkiendelea kukata Keki za birthday pamoja Kwa miaka mingi zaidi...
Maana najua sio rahisi kuhesabu Siku/wiki/Mwezi/Mwaka mkiendelea kuwa wamoja kama mlivyo ninyi.
"May you be given more birthdays to fulfill all of your dreams!”
Heri ya Siku ya Kuzaliwa Mkuu Smart911
Sssaaaaanaaa tu mbona!!View attachment 3042786
Hivi mambo haya yanawezekana kumbe humu
Birthday boy atatoa mwongozo soon rafikiii get prepared bia 🍾🍾🍾 kama zoutreeeeee!Aaaaah shemelaa hizo bia tunanywea wapi sasa