Happy birthday sweet Chachu Ombara

Happy birthday sweet Chachu Ombara

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
Habari wadau mabestito wa zamani na wasasa (wanasema ya kale ni dhahabu)

Ninafuraha iliyoje kumtakia mwandani wangu kumbukizi ya kuzaliwa kwake, Mungu ampe miaka mingi ya ubabu kabisa aje kusahau hata kuingia humu JF hahaaaaaaaaaa.

Chachu jisikie kupendwa kwa namna hii hata kama hujaona kabakuli ka uji pembeni yako. ila furahia hii siku ambayo mamamkwe alikupush duniani hongera sana my sweet.

Basi wadau na wapenzi na marafiki za Chachu Ombara mtakieni heri Mr Wangu Chachu yaani atashangaa kuona kabest kake kamemkaukia hahahaaaaa

Enjoy your day bestito

Wasalaam
Ladyf.

images.jpeg

 
Watoto na mama yao walipanga kunifanyia sapraiz siku yangu ya kuzaliwa, basi mimi sina habari nikapitia Oxygen kula bia.....😋 yaani nilirufi nipo chakari sina habari kabisa mida mbaya nikakuta watoto walisha lala. Basi naangalia sebleni naona keki na imepambwa njema...🤣

Hapo waifu nanuna kinoma....🤨 akaishia kuniambia nilivyo na tabia mbaya, watoto wamenisubiri hadi wamelala....😴 kwakweli nilijiskia huzuni sana na nikaishia kumuomba msamaha...😥 asubuhi watoto walipo amka wakaanza na keki kama kitafunio cha chai ndipo wakaenda shule....😜
Mungu anisamehe sana.....

HBD Chachu Ombara
 
Watoto na mama yao walipanga kunifanyia sapraiz siku yangu ya kuzaliwa, basi mimi sina habari nikapitia Oxygen kula bia.....😋 yaani nilirufi nipo chakari sina habari kabisa mida mbaya nikakuta watoto walisha lala. Basi naangalia sebleni naona keki na imepambwa njema...
hahaaaaa wewe nawe ulizidi sana yaani mpaka watoto walijisikia vibaya mno
 
Habari wadau mabestito wa zamani na wasasa (wanasema ya kale ni dhahabu)

Ninafuraha iliyoje kumtakia mwandani wangu kumbukizi ya kuzaliwa kwake, Mungu ampe miaka mingi ya ubabu kabisa aje kusahau hata kuingia humu JF hahaaaaaaaaaa.

Chachu jisikie kupendwa kwa namna hii hata kama hujaona kabakuli ka uji pembeni yakko. ila furahia hii siku ambayo mamamkwe alikupush duniani hongera sana my sweet.

Basi wadau na wapenzi na marafiki za Chachu Ombara mtakieni heri Mr Wangu Chachu yaani atashangaa kuona kabest kake kamemkaukia hahahaaaaa

Enjoy your day bestito

Wasalaam
Ladyf.

Mimi naomba nikupongeze sana ladyfurahia kwa consistency uliyoonesha katika kumtakia Chachu Ombara heri ya siku ya kuzaliwa. Imekuwa kawaida yako ya miaka nenda rudi.

Hongereni sana kwa penzi zito.
 
Happy birthday to him.

Ni member humu?
 
Back
Top Bottom