ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
- Thread starter
- #21
MEMBER WA MIAKA MINGI TANGIA ZAMA ZA TANU HAHAAAAAAHappy birthday to him.
Ni member humu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MEMBER WA MIAKA MINGI TANGIA ZAMA ZA TANU HAHAAAAAAHappy birthday to him.
Ni member humu?
Woow thanks WANGUAsante sana mpenzi ladyfurahia, una nafasi ya pekee moyoni mwangu.
Mungu anisamehe sana mkuu.... Lakini walifurahia kunywa chai na keki..😂hahaaaaa wewe nawe ulizidi sana yaani mpaka watoto walijisikia vibaya mno
sasa kaja humu ongea kwa ruksa yangu bestito hahaaaaaHata yako huna jamani
waliio-enjoy ila ilikuwa too late,Mungu anisamehe sana mkuu.... Lakini walifurahia kunywa chai na keki..😂
Alisema dhawadi ya besdei sisi wadau tumuandalie anaza waifusasa kaja humu ongea kwa ruksa yangu bestito hahaaaaa
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa yaani second wife daahAlisema dhawadi ya besdei sisi wadau tumuandalie anaza waifu
Umekubaliana na hiloo??hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa yaani second wife daah
hata kwa dawa sijakubaliana bestUmekubaliana na hiloo??