ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
sijakuelewa bestito unasema unataka namba yangu? mbona hata hapa muwish tu anaona au ulitakaje bestNaomba namba yako nimuwish hepibesdei
Nina salamu kubwa sana ndo maana napenda iwe vere pasonosijakuelewa bestito unasema unataka namba yangu? mbona hata hapa muwish tu anaona au ulitakaje best
Hahahaaaaaaaaaaaaa uwiiii ingia kwenye pm yake umwish basi maana hapa wengi wataonaNina salamu kubwa sana ndo maana napenda iwe vere pasono
Aseee iii mbombo ngafuhahahaaaaaaaaaaaaa uwiiii ingia kwenye pm yake umwish basi maana hapa wengi wataona
hahaaaaa wewe nawe ulizidi sana yaani mpaka watoto walijisikia vibaya mnoWatoto na mama yao walipanga kunifanyia sapraiz siku yangu ya kuzaliwa, basi mimi sina habari nikapitia Oxygen kula bia.....😋 yaani nilirufi nipo chakari sina habari kabisa mida mbaya nikakuta watoto walisha lala. Basi naangalia sebleni naona keki na imepambwa njema...
Mimi naomba nikupongeze sana ladyfurahia kwa consistency uliyoonesha katika kumtakia Chachu Ombara heri ya siku ya kuzaliwa. Imekuwa kawaida yako ya miaka nenda rudi.Habari wadau mabestito wa zamani na wasasa (wanasema ya kale ni dhahabu)
Ninafuraha iliyoje kumtakia mwandani wangu kumbukizi ya kuzaliwa kwake, Mungu ampe miaka mingi ya ubabu kabisa aje kusahau hata kuingia humu JF hahaaaaaaaaaa.
Chachu jisikie kupendwa kwa namna hii hata kama hujaona kabakuli ka uji pembeni yakko. ila furahia hii siku ambayo mamamkwe alikupush duniani hongera sana my sweet.
Basi wadau na wapenzi na marafiki za Chachu Ombara mtakieni heri Mr Wangu Chachu yaani atashangaa kuona kabest kake kamemkaukia hahahaaaaa
Enjoy your day bestito
Wasalaam
Ladyf.
usione tabu ingia pm tu yake atakuona hukko maana sina simu yake mmAseee iii mbombo ngafu
hahahaaaaaaaaaa jamani asante sanaMimi naomba nikupongeze sana ladyfurahia kwa consistency uliyoonesha katika kumtakia Chachu Ombara heri ya siku ya kuzaliwa. Imekuwa kawaida yako ya miaka nenda rudi.
Hongereni sana kwa penzi zito.
Hata yako huna jamaniusione tabu ingia pm tu yake atakuona hukko maana sina simu yake mm
mm napatikana sana hapa jf tu ndugu yangu sasa mambo ya simu ya nini wakati tumepewa jukwaa hili pendwaHata yako huna jamani
Asante sana mpenzi ladyfurahia, una nafasi ya pekee moyoni mwangu.Habari wadau mabestito wa zamani na wasasa (wanasema ya kale ni dhahabu)
Ninafuraha iliyoje kumtakia mwandani wangu kumbukizi ya kuzaliwa kwake, Mungu ampe miaka mingi ya ubabu kabisa aje kusahau hata kuingia humu JF hahaaaaaaaaaa...