Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Haipingwi nakubaliana nawe
Sheria!
Haina mgogoro
Nakupost mpk kwenye wasap status yangu mkuu
Sasa si ungesema unazaliwa Leo ningekufungulia liuzi jombaa..😂
Happy birthday taikon..ishi Sana tu
Happy birthday Taikon wa fasihi
Mtibeli ROBERT HERIEL
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Happy bday to you Taikon wa JF🎂
Maisha mema na marefu kwako
Heri ya siku ta kuzaliwa mzee babaKwema Wakuu!
Ijumaa Kama ya Leo, Tarehe Kama ya Leo, mwezi Kama WA leo, Taikon niliwasili Duniani Alfajiri kabla ya jua kuchomoza, nikitokea Nyota ya Tibeli yenye mbawa Mbili irukayo tangu ulimwengu huu mpaka mwingine.
Inatarajiwa nitaondoka siku kama ya Leo lakini haifahamiki ni mwezi gani wala haijulikani ni mwaka gani.
Nitaelekea Nyota ya Niru huko nitawasilisi jioni kabisa ya siku kama ya leo Kwa masaa ya Nyota ya Niru. Kisha nitadumu huko Kwa miongo kadhaa kabla sijarejea Nyota ya Tibeli huko ilipoasili yangu.
Happy birthday to Me.
Kuhani katika Hekalu jeusi.
Mtibeli
Usimuonee huruma mwanamke????Amini kwamba View attachment 2163695
Heri ya siku ta kuzaliwa mzee baba
Japo nimechelewa kukutakia heri za kumbukizi ya siku ya kuzaliwa lakini sio mbaya sana kukutakia wakati huu, haukuja kwa bahati mbaya hapa duniani, tunashukuru kwa uwepo wako hapa jukwaani na kwingineko.