Happy birthday Tanzania hip hop icon Nicas John Machuche

Happy birthday Tanzania hip hop icon Nicas John Machuche

Nikki mbishi kaniangusha sanaa asee, huyu jamaa alivyotoa ngoma ile ya starehe mwaka 2009 mwishoni niliona atakua bonge la msanii mkubwa wa hip hop kumbe hakuna kitu
 
Albums zake zote nnazo
1:Sauti ya jogoo
2:Unju bin Unuki
3:Sam Magoli..
Jamaa ni anajua kinoma na waga namkubali sana misimamo yake hajuagi kuficha kitu ye anafunguka2.
 
Wakongwe wamechoka cheki wanavotokwa povu..//
Wameenda kupiga goti kwa Dozen na Adam mchomvu..//
 
Codes zangu Leonardo Davinci/
Upeo wenu mdogo its not easy to convince me/
Im settled
Niki meditate life ya ghetto/
Sometimes nakuwa mental au Klepto ka Nyashinski/
Play store na sync free im talking to the gamers/ mnaojidhalilisha kwa media just to be famous

Natema shombo kama papa kwa mchuzi/ Chawa nawaingiza chaka kwenye kwapa la Suzi/
Its a call to everybody uraiani na serikali/ Hakuna kuoneana huruma biashara ni ubepari

Na hata haki zako ukizilinda/ wahuni watadurufu ndo soko la ukiritimba

Kumekucha na makucha yake/ kumbuka kila kiumbe ameshushwa na future yake/ wengine kwa maduka wengine kwa supermarket/ vyuma viko loose na juzi wameshusha budget/ zimevuja news who wanted to shoot at Nape/ wanapita wapuuzi kunja carpet f'kuza puppet/

Macho nakula racket
Bado naskuma package/ anasikika sana redioni boss mkuu mama yake/ floss tu babaake songa close to the target/ Mdosi utake ustake tuna force kuuza cassete/ Muumba tutakase aliyetufunga tumshangaze/ ka ni Iblisi muasi tumkanyge tumpe kazi ee

Huwa naingia waki press enter/ Sina historia ya kusjudia ma-presenter/ mwanaume ka change jinsia kawa transgender/ toka lunduno Unju past member Dar stand up

Na murder kila interview sio tu the bartender/Lafudhi tamu paka wanauliza umekaa Pemba/


Nikki mbishi ni mbaya sanaaaa
 
Umekuja kujianzishia thread humu? Msanii gani huyu analilia show, kwa nyimbo zake amuite Nani? Anasifiwa Hadi na Young lunya show zote kubwakubwa yumo
Wewe Niki ni fwala tu, watakusikiliza hukohuko buza na kwa mpalange
Sasa Afrika mikononi ukoloni ndo umeshafika ukingoni/ mboni ya msomi haitodanganyika
Nalazimika kufika nainjika chungu jikoni/ imebadilika mpaka namshika mzungu kiunoni
Waliyo hai/wanaishi kwa imani zilizokufa/
Sitaki kujenga ukuta ndiyo maana naziba nyufa/
Kaa chini vuta hisia weka umakini kisha kumbuka/ homa ya dunia soma historia kisha zinduka/
Martin Luther,
Malcolm , William true boys/
Nguzo zenye tunzo mafunzo hakuna new choice/
Ubaguzi wa rangi, dini na kabila/ tawala za kinazi ubabe nini dhamira/
Uzushi na ubaguzi wa madhehebu na vyama vya siasa/ imani za kikushi kizazi hakina darasa
Uko wapi muelekeo, mtazamo na tegemeo/ pembejeo zimeadimika na hii ndo afrika ya leo

Mwendo wa kuchechema viongozi wamechakachua/Dhamana walizopewa nkisema huenda wakaniua/
Usinitishe kwa cheche ilihali moto naujua/ Eti John Speke ziwa Victoria ndo kagundua/
Nateta na wabongo kwa Kiswahili na sio kimombo/ Afrika nitokayo mimi si ile ya Christopher Colombo/
Sio bara giza bara mama la ulimwengu/ na dhahiri kuwa utajiri wa mzungu unatoka kwetu/
Bashiri za kale kwa sasa ndiyo maisha halisi/ Watu wenye mioyo yabisi watu wenye taifa la uasisi/
Utani wa jadi
Umetupwa kando baba kapinda/ Macho kwenye pesa kama Fikiri madinda/
Wapo waliopotea kwa kumuiga Elton John/ Ndipo anapotokea naitimiliza Teflon Don/ Vuka Kibo na Mawenzi twende Elgon zone/ Uone Afrika ya leo na hii ni episode one/

Afrika ya Leo- Nikki Mbishi nyimbo ya 2008 au 2009 hiviii
 
Nikki mbishi kaniangusha sanaa asee, huyu jamaa alivyotoa ngoma ile ya starehe mwaka 2009 mwishoni niliona atakua bonge la msanii mkubwa wa hip hop kumbe hakuna kitu
Maisha ni safari wape ladha ma-passenger/
Kaa kijanja kaa Sinza danga unavaa Ninja(?)/
Unaweza sema najistiri/ kiwanja kuja mapema kuondoka alfajiri
Juzi moka jana wamesepa na kandamili/ Shehe wangu nimechoka leo nafoka albadiri
Kaligonga kali Kunya/ Habari huna/ Im running to ya/ im coming sooner/ Kaa mbali junior
Check it mic check nnavyo right left/
Ku-refuge-iika Wy clef im the nicest/
Priceless
Kama devil kukupa medal
 
Usikute ni yangi yunga mwenyewe hata nyimbo zake hazina majina Album hana unakuta nyimbo inaitwa session[emoji16]
Young Lunya keshateka soko anaelekea kuwa mainstream sasa..huyo nikki Muda wake ushapita.
Ila BABU talent ni bonge na ngoma..
NATAKA kutoka aaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ucpime

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Long live Nikki.

Keep it up. Keep the fire burning!!

'Kwanini Mimi' by Nikki Mbishi ft. Becka Title

-Kaveli-
 
Nikki mbishi kaniangusha sanaa asee, huyu jamaa alivyotoa ngoma ile ya starehe mwaka 2009 mwishoni niliona atakua bonge la msanii mkubwa wa hip hop kumbe hakuna kitu
Hana nyimbo inaitwa ivyo.
 
Back
Top Bottom