Happy Birthday to 39-year-Old Halima Mdee

Happy Birthday to 39-year-Old Halima Mdee

Mtoto???? na yule msagaji wa bulaya huyo mtoto atazaliwaje....
 
Happy birthday Madam..mimi ni mtu ambaye na support uendelee kuwa Single..ili uwe na mda mwingi wa kupigania Jamii yako ya KAWE..ili siku.moja waje kukumbuka kwa ushujaa wako...keep going Halima Mdee...
 
Happy birthday Dada, ila Fanya mpango upate mtoto umri unaenda!
 
Hata kama atakuwa mke wa mtu ukweli mume atapata shida anaweza letewa Power hadi kitandani Ki ukweli nampongeza kwa dhati kwa kuzaliwa kwake ingawa anapwaya akiwa single basi ajaribu mchepuko atakosa maaadili ya uongozi haha haha aende uSister
 
Dah.... Mie sauti yake tu huwa inanichanganya sana[emoji7] [emoji7]
 
Happy birthday Madam..mimi ni mtu ambaye na support uendelee kuwa Single..ili uwe na mda mwingi wa kupigania Jamii yako ya KAWE..ili siku.moja waje kukumbuka kwa ushujaa wako...keep going Halima Mdee...
Dah.... Na Akitoka KAWE basi awe Rais wa pili mwanamke wa JMT[emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom