T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Hahahaha.....utakuwa Gamboshi wewe emmyta.Mi hata sijui nipo wapi. [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Gambosh ndo nini?Hahahaha.....utakuwa Gamboshi wewe emmyta.
Ni kijiji fulani hiviGambosh ndo nini?
Aha. Sio huko basi.Ni kijiji fulani hivi
Swali gumu kweli Emmy, ila ngoja nilijibu.Ahsante sana nashukuru.
Hivi jukwaa gani unapendelea niwe nakuja kukusalimia. Mana kitambo kidogo sijakuona?
Usijali na hiyo ndio faida ya jf wapo watu bora kabisa ambao ukiwa nyuma yao utegemee kupata mawili matatu.Swali gumu kweli Emmy, ila ngoja nilijibu.
Sina Jukwaa n'nalopendelea zaidi, Mimi naangalia mada yenye Elimu, Kufikirisha, Midahalo mbalimbali nk, iwe ni Jukwaa la Intelligence, Siasa, Biashara, Kilimo, Matangazo, nk.Nje ya hapo sipatikani pengine.
Pia nakimbizana na Ma-great Thinkers ili niweze kuokota mawili matatu ya kupanua uelewa wangu.Wanapokuwepo kina Nyani Ngabu, Barafu, Al watan, Charmilton, Ontario, Bold, Bak,Tized, Faiza, bila kukusahau Emmy basi nakuwa nyuma yenu kuyafuatiza mawazo yao ili kuokota kadhaa.
Keki keki keki keki keki [emoji24] [emoji24]Usijali na hiyo ndio faida ya jf wapo watu bora kabisa ambao ukiwa nyuma yao utegemee kupata mawili matatu.
Uwe na wakati mzuri Dahafrazeril
Nimekuja asubuhi nikuletee keki yako mbona sikukuta. [emoji125] [emoji125]Keki keki keki keki keki [emoji24] [emoji24]
Wabheja sahna Emmy.Usijali na hiyo ndio faida ya jf wapo watu bora kabisa ambao ukiwa nyuma yao utegemee kupata mawili matatu.
Uwe na wakati mzuri Dahafrazeril
Hahaaa. Usijali Mtani wangu lol.Wabheja sahna Emmy.
[emoji8] [emoji8]Thank u my dear. [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Unacheka nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dah nimechelewa sana kuiona hii,Ahsante nashukuru. Picha Itafuata baadae [emoji2]
Ahsante sana mdogo wake.Dah nimechelewa sana kuiona hii,
Mungu akupe maisha marefu.
Hata hivyo kuna maswali mengi sana najiuliza hapa majibu yake ni magumu mno kupatikana
Aiseeh!! Kwaheri jirani.ha h ha past tense maana yake huyo mzee mie vyangu namba D tu hao T104AAA siwatak
[emoji15] [emoji15] [emoji15] nilitoka saa 12Nimekuja asubuhi nikuletee keki yako mbona sikukuta. [emoji125] [emoji125]
Ok.Ilibaki mkuu. Ntakupitishia baadae.[emoji124] [emoji124]