Happy birthday to Emmyta

Happy birthday to Emmyta

Ahsante sana nashukuru.

Hivi jukwaa gani unapendelea niwe nakuja kukusalimia. Mana kitambo kidogo sijakuona?
Swali gumu kweli Emmy, ila ngoja nilijibu.

Sina Jukwaa n'nalopendelea zaidi, Mimi naangalia mada yenye Elimu, Kufikirisha, Midahalo mbalimbali nk, iwe ni Jukwaa la Intelligence, Siasa, Biashara, Kilimo, Matangazo, nk.Nje ya hapo sipatikani pengine.

Pia nakimbizana na Ma-great Thinkers ili niweze kuokota mawili matatu ya kupanua uelewa wangu.Wanapokuwepo kina Nyani Ngabu, Barafu, Al watan, Charmilton, Ontario, Bold, Bak,Tized, Faiza, bila kukusahau Emmy basi nakuwa nyuma yenu kuyafuatiza mawazo yao ili kuokota kadhaa.
 
Usijali na hiyo ndio faida ya jf wapo watu bora kabisa ambao ukiwa nyuma yao utegemee kupata mawili matatu.

Uwe na wakati mzuri Dahafrazeril
 
Tatzo espy kakuponza et mie nikusalandie wewe nakupelka wap baki na TZA yako mie sitak shida watoto wako portable kama Sienta vile au Ka Passo new model
Jirani ongea kiswahili basi, hizo lugha zenu vijana mie sizielewi.
 
Back
Top Bottom