Yaani aliila ikaisha hakuniachia hata kidogo, na bado akaniagiza nikiwa narudi nyumbani nimletee keki nyingine!! Kwahiyo huyu hata umuandalie ya kilo mia bado atadai tu!![emoji23] [emoji23] [emoji23] Tatizo simu haikuwa na chaji hivyo nikaona kwa espy ndio karibu.
Pole dada ake. Nitakuandalia nyingine maalum kwa ajili yako. [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Nimeamini my dear. [emoji2] [emoji2]
Ila nitamuandalia ya peke yake. [emoji23] [emoji23]
Hii familia itanishinda soon, kaka gani mgomvi hivyo!!!Cha kifamilia shangazi kinakuhusu
Shangazi usijali emmyta atakuletea tena, napo isipokutosha naenda kukuombea kazi bakery alafu mshahara wako ni kula keki, uleeeeeee ufutuke uwe duara.[emoji134] [emoji134] hivi kwa nini lakini uliimaliza yote shangazi
Hivi mumeo anaitwa nani vileeee!! Aje akubembeleze shangazi maana si unajua kipengele hicho nina sifuri!!!Ya peke angu sitaki mimi
Jamani dada ake usifanya hivyo. Basi tusubiri ijayo. [emoji2] [emoji2].
Uuwii [emoji134] [emoji134] . Jitahidi my dear hicho kipengele japo ifike hata 1. [emoji2] [emoji2]Hivi mumeo anaitwa nani vileeee!! Aje akubembeleze shangazi maana si unajua kipengele hicho nina sifuri!!!
Kila nikiingia darasani nabashite tu, nikagundua its not for everyone, nikaachana nayo.Uuwii [emoji134] [emoji134] . Jitahidi my dear hicho kipengele japo ifike hata 1. [emoji2] [emoji2]
[emoji2] [emoji2] Inabidi kuanzia wiki ijayo nikupe darasa la jioni huenda ukasogea sogea angalau ukapata D.Kila nikiingia darasani nabashite tu, nikagundua its not for everyone, nikaachana nayo.
Maybe, maana nishabadili sana walimu, nikagundua tatizo sio mwalimu!![emoji2] [emoji2] Inabidi kuanzia wiki ijayo nikupe darasa la jioni huenda ukasogea sogea angalau ukapata D.
Hahahaa. Kumbe tatizo sio mwalimu basi hata nami hutanielewa Aiseee. We ni hatareee [emoji2] [emoji2] [emoji2]Maybe, maana nishabadili sana walimu, nikagundua tatizo sio mwalimu!!
Hapo sawaaa me napenda za watu wengiJamani dada ake usifanya hivyo. Basi tusubiri ijayo. [emoji2] [emoji2].
Shangazi mimi huyooo hivi lini umeanza uongoYaani aliila ikaisha hakuniachia hata kidogo, na bado akaniagiza nikiwa narudi nyumbani nimletee keki nyingine!! Kwahiyo huyu hata umuandalie ya kilo mia bado atadai tu!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shangazi banaHivi mumeo anaitwa nani vileeee!! Aje akubembeleze shangazi maana si unajua kipengele hicho nina sifuri!!!
Usijali dada ake. [emoji8] [emoji8] [emoji8]Hapo sawaaa me napenda za watu wengi
Ahahah kumbe tatizo ni weweMaybe, maana nishabadili sana walimu, nikagundua tatizo sio mwalimu!!
[emoji8]Usijali dada ake. [emoji8] [emoji8] [emoji8]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahaa. Kumbe tatizo sio mwalimu basi hata nami hutanielewa Aiseee. We ni hatareee [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hiyo ndio dawa yako shangazi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio nataka nimpe darasa nina imani atakaa sawa [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ahahah kumbe tatizo ni wewe
Kwahiyo shangazi mumeo anaitwa kicheko?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shangazi bana