Happy birthday to Emmyta

Happy birthday to Emmyta

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Tatizo simu haikuwa na chaji hivyo nikaona kwa espy ndio karibu.

Pole dada ake. Nitakuandalia nyingine maalum kwa ajili yako. [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Yaani aliila ikaisha hakuniachia hata kidogo, na bado akaniagiza nikiwa narudi nyumbani nimletee keki nyingine!! Kwahiyo huyu hata umuandalie ya kilo mia bado atadai tu!!
Nimeamini my dear. [emoji2] [emoji2]

Ila nitamuandalia ya peke yake. [emoji23] [emoji23]
 
Cha kifamilia shangazi kinakuhusu
Hii familia itanishinda soon, kaka gani mgomvi hivyo!!!
[emoji134] [emoji134] hivi kwa nini lakini uliimaliza yote shangazi
Shangazi usijali emmyta atakuletea tena, napo isipokutosha naenda kukuombea kazi bakery alafu mshahara wako ni kula keki, uleeeeeee ufutuke uwe duara.
 
Yaani aliila ikaisha hakuniachia hata kidogo, na bado akaniagiza nikiwa narudi nyumbani nimletee keki nyingine!! Kwahiyo huyu hata umuandalie ya kilo mia bado atadai tu!!
Shangazi mimi huyooo hivi lini umeanza uongo
 
Hii familia itanishinda soon, kaka gani mgomvi hivyo!!!

Shangazi usijali emmyta atakuletea tena, napo isipokutosha naenda kukuombea kazi bakery alafu mshahara wako ni kula keki, uleeeeeee ufutuke uwe duara.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom