Weweeehapana aisee mpaka cheti ninacho
Daaah!Ahsante sana kaka ake.
Ila nasikitika kaka sio kwa usahaulifu huo. Hadi zimepita siku mbili ndio unaibuka. [emoji23] [emoji23]
Vilitungwa wakati wa masika, ilibidi vizaliwe tuuNdio maana!! Vitoto vilivyozaliwa mwisho wa mwaka vina matatizo kweli!!
Jiandae j.3 kazini.[emoji134] [emoji134] [emoji134]
HahahaAhsante sana kaka ake.
Ila nasikitika kaka sio kwa usahaulifu huo. Hadi zimepita siku mbili ndio unaibuka. [emoji23] [emoji23]
kula cake zenu ndio mnipe tarehe ga kuzaliwa siku ya wajinga kwani me sijazaliwaHahaha
Ukomeee kula keki zetu
mfyuuuuHebu nijaribu kumuuliza mzee
Eti anasema disemba, kaamua kujibahatishia tu.Umeonaee
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Nipo Kakake Emmyta
Mambo
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125]Ndio maana!! Vitoto vilivyozaliwa mwisho wa mwaka vina matatizo kweli!!
Mwenyewe nilikuwa sijui bhanaDaaah!
Nisamehe mdogo wangu..
Nilikuwa nimejichimbia mahali afu hata wifii yako haniambiii...
Anyway nikija home nakuletea zawadi...
Najua nini unapenda
Aunty hiyo ya halotel haukuwahi kunipa.Uliifuta au
WhoMiss you..
mimi ndio cake yako nilimpa lee akuwekee nisiimalizeWeweee
Ndio hivyo, huyu mtoto ana matatizo mengi sana.Yesuu
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji15]Vilitungwa wakati wa masika, ilibidi vizaliwe tuu