Happy birthday to Emmyta

Happy birthday to Emmyta

Ahsante sana kaka ake.

Ila nasikitika kaka sio kwa usahaulifu huo. Hadi zimepita siku mbili ndio unaibuka. [emoji23] [emoji23]
Daaah!

Nisamehe mdogo wangu..

Nilikuwa nimejichimbia mahali afu hata wifii yako haniambiii...

Anyway nikija home nakuletea zawadi...

Najua nini unapenda
 
Back
Top Bottom