Daaah!
Nisamehe mdogo wangu..
Nilikuwa nimejichimbia mahali afu hata wifii yako haniambiii...
Anyway nikija home nakuletea zawadi...
Najua nini unapenda
hiyo tarehe yenu bakini nayo wenyeweOooh!! Ulizaliwa eeeh mtoto mzuri!! Ndio maana tumekupangia birth day yako mama.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Vilitungwa wakati wa masika, ilibidi vizaliwe tuu
[emoji134] [emoji134]Niwakunyonga huyooo
Thanks mkuu [emoji120] [emoji120] [emoji120]Happy birthday
jamaan [emoji134] [emoji134] kumbe mnavyotusema hivi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vingebaki vingeleta shida tumboni sana!
AkuuuAunty utavunjika miguu, kwani unawahi wapi?
Aunty hilo cheko lina maanisha kuna kitu unakijua, kuna kitu mnanificha eeh!!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shida tupu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vingebaki vingeleta shida tumboni sana!
Aunty naunganisha dots tu ujue, maana sijaelewa kabisa kwanini ujibu hiyo comment wakati kasema "hata wifi yako haniambii"Mwenyewe nilikuwa sijui bhana
Shunie naomba basi[emoji134] [emoji134]
unaomba [emoji15] [emoji15] nini we AntonioShunie naomba basi
Na wewe wako nani? Mjitaje tu maana hamna namna.Hahaaa. My wi kwa kaka yangu T [emoji23] [emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Aunty naunganisha dots tu ujue, maana sijaelewa kabisa kwanini ujibu hiyo comment wakati kasema "hata wifi yako haniambii"
[emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji85] [emoji85]Shida tupu
Ndio unakwenda kupima sare?[emoji125] [emoji125] [emoji125]