Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Daaah!
Nisamehe mdogo wangu..
Nilikuwa nimejichimbia mahali afu hata wifii yako haniambiii...
Anyway nikija home nakuletea zawadi...
Najua nini unapenda
Usijali kaka ake najua hukidhamiria.
Zawadi yangu naisubiri ukija nyumbani usisahau.
Uwe na wakati mzuri my kaka. [emoji23] [emoji23]