Happy birthday to Emmyta

Ahsante sana pacha wake.

Nawe pia nikutakie kheri ya kuzaliwa pacha wangu m'mungu akujaalie uzima na akupe kila la kheri kwenye maisha yako ya kila siku.

Baadae Nitakaribia pacha usijali sina budi nikaribie ili tukate keki pamoja. [emoji2] [emoji2]
Asante pacha, Nikutakie afya njema na kwa mapenzi ya Mungu tuione siku kama ya leo mwakani.
 
Asante pacha, Nikutakie afya njema na kwa mapenzi ya Mungu tuione siku kama ya leo mwakani.
Amiin. [emoji120] [emoji120] [emoji120] . Na kwako pia pacha.

Tuzidi kuomba uzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…