SHAMAC
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 1,343
- 3,561
Ahsante nashukuru. Picha Itafuata baadae [emoji2]
Ukiweka kapicha unitag na mie .,, Kuna watu huwa nimewaumba tu akilini humu Jf cjui ndo huwa wako hivyo kweli..?? Mkituona tusura twenu mtacheka..!!
(N.B) Mi sio mwanachama wa chaputa wala wanga...!! Ni hali ya kiakili tusielewane tofauti...!!
HAPPY B. emmyta.,, Jf mumy wa ukweli...!!!