Happy birthday to Emmyta

Happy birthday to Emmyta

Ahsante nashukuru. Picha Itafuata baadae [emoji2]

Ukiweka kapicha unitag na mie .,, Kuna watu huwa nimewaumba tu akilini humu Jf cjui ndo huwa wako hivyo kweli..?? Mkituona tusura twenu mtacheka..!!

(N.B) Mi sio mwanachama wa chaputa wala wanga...!! Ni hali ya kiakili tusielewane tofauti...!!

HAPPY B. emmyta.,, Jf mumy wa ukweli...!!!
 
Ahsante sana nashukuru SHAMAC.

Pia usijali nkiiweka nitaku tag ili uje unione. [emoji23] [emoji23]
 
Usijali aunt yake . Na mama yako espy usimuache mwambie namkaribisha pia [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Very sory sweetheart, ndio naiona hii notification now.

Happy birthday dear. Mwenye enzi akujaalie kila lililojema na uzidi kuwa na that beautifull heart daima.
Hope sijachelewa keki.
 
Very sory sweetheart, ndio naiona hii notofication now.

Happy birthday dear. Mwenye enzi akujaalie kila lililojema na uzidi kuwa na that beautifull heart daima.
Hope sijachelewa keki.
ukiitwa kula cake usinisahau jaman
 
Back
Top Bottom