Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Leo kazaliwa mwanamke mrembo na mwenye kujiheshimu.
Heri ya siku ya kuzaliwa rafiki
Heri ya siku ya kuzaliwa rafiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ngoja aje ataiweka [emoji12]Hpbd kwake ila weka photo
Ndo najaribu kuiweka hapa mkuuHeri ya kuzaliwa.
mleta mada weka picha yake tuone huo urembo.
Ahsante nashukuru. Picha Itafuata baadae [emoji2]Heri ya kuzaliwa.
mleta mada weka picha yake tuone huo urembo.
Ukiweka pic unitag rafikiAhsante nashukuru. Picha Itafuata baadae [emoji2]
Ahsante nashukuru. Picha Itafuata baadae [emoji2]
Usijali [emoji23] [emoji23]Ukiweka pic unitag rafiki
[emoji120] [emoji120] [emoji120]heri ya kuzaliwa emmyta, Mungu akupe maisha marefu