Happy birthday to Emmyta

Happy birthday to Emmyta

Hadi huyu jirani!!!![emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
ha h ha past tense maana yake huyo mzee mie vyangu namba D tu hao T104AAA siwatak
 
Hahaaa. Naisubiria ujue. [emoji124] [emoji124]
Wala usijali emmyta we andaa mazingira ya kuipokea tu hiyo zawadi.[emoji309] [emoji320]

Ila ingenoga zaidi kama ningeona ka picha kako mkuu ili niweze kukuandalia zawadi nzuri na inayokufaa na inayokuenea vizuri.....
 
Hivi best una zawadi kweli mbona masharti kibao. [emoji2] [emoji2]

Basi usihangaike nitaifuata mwenyewe huko huko. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hivi best una zawadi kweli mbona masharti kibao. [emoji2] [emoji2]

Basi usihangaike nitaifuata mwenyewe huko huko. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Tehteh.....zawadi ninayo mkuu emmyta.

Ila jinsi ya kuipata wewe ndo nawaza aiseee!!

Au upo nilipo huku mimi maana hii ni jamiiforums ujue.
 
Back
Top Bottom