Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Naomba unigawe kwa trump shangazi, huyu msukuma wenu nishamshindwa mimi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shangazi nakugawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba unigawe kwa trump shangazi, huyu msukuma wenu nishamshindwa mimi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shangazi nakugawa
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Happy born day Emmyta
Nahisi ni kipaji maana sio kila mtu anaweza, mie ngoja nibakie kubembelezwa tu my dada.Hahaaa. Hivi kumbe ni kipaji [emoji2] [emoji2]
Keki imeisha!! Usije tu nawe ukadai kama shunie.Happy born day Emmyta
Ndio ujitahidi my dada mana siku mbembelezaji akichoka unadhani itakuwaje.[emoji23] [emoji23]Nahisi ni kipaji maana sio kila mtu anaweza, mie ngoja nibakie kubembelezwa tu my dada.
Yaani we acha tuu walikuja na fiati siku njiani lakini leo wanaweza kurudi kwa nusu siku tuuHahahaaa. Pole na majukumu best.
Usijali nina imani nawe utakuwa mmoja kati ya watakaobakia kwenye jiji la bashite.
Ila sio siri kwenda kule ni changamoto.
Hatakiwi kuchoka maana ni jukumu lake, mie ngoja nibakie kunyenyekea tu.Ndio ujitahidi my dada mana siku mbembelezaji akichoka unadhani itakuwaje.[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Keki imeisha!! Usije tu nawe ukadai kama shunie.
Pamoja sana best. Uwe na wakati mzuri.Yaani we acha tuu walikuja na fiati siku njiani lakini leo wanaweza kurudi kwa nusu siku tuu
Nini mbaya my wiiUuwiii [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134].
My wii Nisamehe jamani....[emoji120] [emoji120] [emoji120]
My wi una kesi ya kujibu sio kwa kuchelewa huko.
Sio kwa kususia hivyo. Kwani kaka hakukwambia [emoji124] [emoji124]Nini mbaya my wii
Yangu itakuwepo tu jamaniKeki imeisha!! Usije tu nawe ukadai kama shunie.
Etiiiii imeishaa my wii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hajaniambia kabisaa, mie Siwezi kukususa my wiii. Ntaanzaje kwanzaSio kwa kususia hivyo. Kwani kaka hakukwambia [emoji124] [emoji124]
Yaani yangu na yako zote shunie alikula.Yangu itakuwepo tu jamani
HeeYaani yangu na yako zote shunie alikula.
Hahaa shangazi basi mfupishe muite Lee tuShangazi mumeo jinale gumu sana bwana.
Na hakutosheka bado anadai nyingine, huyo mtoto mie nimemshindwa, namgawa kwa mwenye bakery ili awe anakula keki kila siku.Hee
Haiwezekani lazima nimtapishe.... Au nae akulwe
Hapana shangazi nakugawa hapa hapa kwa msukuma maumivu tupate woteNaomba unigawe kwa trump shangazi, huyu msukuma wenu nishamshindwa mimi.