Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Sasa nikifupisha hivyo tajikuta namuita le mutuz bureee!!Hahaa shangazi basi mfupishe muite Lee tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa nikifupisha hivyo tajikuta namuita le mutuz bureee!!Hahaa shangazi basi mfupishe muite Lee tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Keki imeisha!! Usije tu nawe ukadai kama shunie.
Kumbe shangazi haunipendi hivyo!!!Hapana shangazi nakugawa hapa hapa kwa msukuma maumivu tupate wote
[emoji2] [emoji2]Hatakiwi kuchoka maana ni jukumu lake, mie ngoja nibakie kunyenyekea tu.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] shangazi we si ndio uligaiwa cake uzileteYaani yangu na yako zote shunie alikula.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kunitapisha tena yeye kalaHee
Haiwezekani lazima nimtapishe.... Au nae akulwe
[emoji134] [emoji134] [emoji134] kwahiyo umeamua kunigeuzia kibao shangazi ujue sakayo anadai vibayaNa hakutosheka bado anadai nyingine, huyo mtoto mie nimemshindwa, namgawa kwa mwenye bakery ili awe anakula keki kila siku.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] usinihalibie jina la mume shangaziSasa nikifupisha hivyo tajikuta namuita le mutuz bureee!!
Nakupenda sana ndio mana nataka tupate wote maumivuKumbe shangazi haunipendi hivyo!!!
Ndio shangazi, nawe bila huruma ukazibugia zote.[emoji15] [emoji15] [emoji15] shangazi we si ndio uligaiwa cake uzilete
Usimgawe kwanza mpaka atugaie keki yetuNa hakutosheka bado anadai nyingine, huyo mtoto mie nimemshindwa, namgawa kwa mwenye bakery ili awe anakula keki kila siku.
Le mutuz hiyo vipiSasa nikifupisha hivyo tajikuta namuita le mutuz bureee!!
Nipe jina lake la kibantu, hayo mengine mtaniumiza ulimi mimi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] usinihalibie jina la mume shangazi
ShunieNakupenda sana ndio mana nataka tupate wote maumivu
Naomba keki yangu[emoji15] [emoji15] [emoji15] shangazi we si ndio uligaiwa cake uzilete
Nipe keki acha hizo bhana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kunitapisha tena yeye kala
Ndo nataka sasa[emoji134] [emoji134] [emoji134] kwahiyo umeamua kunigeuzia kibao shangazi ujue sakayo anadai vibaya