Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Keki iko wapiMie tena mbona sina ubavu wa kukuchukia my wi. [emoji23] [emoji23].
Kulikoni?
basi nisameheni sirudii tena [emoji134] mtakula mwakaniHivi alianzaje kula keki ya shangazi yake... Kamaliza kala ya dadake bila aibu kweeeli
[emoji2] [emoji2] ujue espy chizi nimecheka sanaHahaha
Anaitwa Lee
Naona Umeichoka amani weweSitaki mie
basi mwakani tena akizaliwa emmyta tenaShunie anunue ingine
[emoji134] [emoji134]
jamaan msinifanyie hivyoHuyu mtoto mie alishanishinda tabia, labda dada yake uongee nae atakuelewa.
espy toka hapa mfyuuuKwahiyo kumbe niliacha e moja, kumbe ni lee mutuz au!!
Hahahabasi nisameheni sirudii tena [emoji134] mtakula mwakani
kheeeNi kweli mimi ndio nilizichukua, ila shunie akala zooote, yaani yangu,yako na yake.
[emoji134] [emoji134]Angekula ya kwako ila yangu lazima ailipee
nilikua na mume shangaziKwani kakimbilia wapi?
khaaaaYaani atanunua keki mpyaa
Mie nazaliwa jumapili, ununue keki utume kwenye Simba mtotobasi mwakani tena akizaliwa emmyta tena
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Aharibu kabisaa
We si umekula keki mwenyewe
naenda kwa lee wanguKuja
cake ipiii emmyta kala boga ndio kafanya cakeNaomba keki Shunie
he he amani ya moyoNaona Umeichoka amani wewe
kweliiii [emoji134] [emoji134] si nitakufwa mimi nisipoonjaHahaha
Jumapili ni birthday [emoji512] yangu, hutaonja keki