Happy birthday to Emmyta

Happy birthday to Emmyta

Mmmmh!! Usije ukawa kama mwanangu ye akiamua tu analilia birth day party maana hata ukimuelewesha maana ya b.day haelewi.

Ni kweli ni b.day yako au nawe umeamua tu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mmmmh!! Usije ukawa kama mwanangu ye akiamua tu analilia birth day party maana hata ukimuelewesha maana ya b.day haelewi.

Ni kweli ni b.day yako au nawe umeamua tu?
Hahaha
Huamini au.... Ndo yenyewe hiyo anti akee
 
Shangazi mungu gani unamuongelea hapo? Hivi bado anaombaga kuombewa au mapepo yaliisha!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] haombi tena kuombewa naona mapepo yaliisha
 
Back
Top Bottom