Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
naona mtanidai mpaka jinsia yangu [emoji125]Ukomeee kula vya watu
Bado mahari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naona mtanidai mpaka jinsia yangu [emoji125]Ukomeee kula vya watu
Bado mahari
Jifanye una makengeza tu leo.Mmmmh
Anti akee, mie naona ka vilee.....
hapna aunt nimemuuliza tuAunty mbona unakuwa mkali?
MmmmhBasi ile ulonipa ulinipa ya magumashi, ndio maana kila nikipiga naambiwa haipatikani!!
Aunty usije tu ukala mahari kama shunie.Jamaniiii anti
ipo huko makapuku inamsumbua sakayoId ipi hiyo?
Salimia vizuri bhana
Shikamoo AuntSalama kabisa antonio.
[emoji23][emoji23]Ukomeee kula vya watu
Bado mahari
[emoji134] [emoji134]Aunty usije tu ukala mahari kama shunie.
Mmmmhndio umwambie sasa
Marahaba mkwe, lazima niwe mkali, hawa watoto wananipeleka mbio kweli mkwe!!Mama mkwe mbona unakuwa mkali?
Shikamoo
Unaleta au hauleti?mmetoka kwenye cake mmehamia kwenye vyeti
Ewaaaasalama tu sakayo anataka kutekwa au ile id yako ulitaka kumpima tu
Isije ikawa nawe ushakula!!Lakini mahari badooo
Chonde chonde aunty...!Ndio nani huyo aunty ake? Nakuonaga nae vichochoroni tu!!
AmeeenNa kufutuka utafutuka pia shangazi, faida mara mbili.
Basi alikosea kunitajia namba, haipatikanagi milele ile.hano nyingne anayo hiyo hiyo
Kwa nini usijitambulishe lakiniNaona shangazi yenu espy anataka kuleta nouma [emoji23][emoji23]
Hahahahapa si insta au fb