Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,548
- 63,038
Haaaa..naona mtanidai mpaka jinsia yangu [emoji125]
Wanataka vyeti vya nini kwani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaa..naona mtanidai mpaka jinsia yangu [emoji125]
UnaijuaId ipi hiyo?
Ikibidi.Au tumtengee siku ya kumdai vyeti
Ngoja niende huko..ipo huko makapuku inamsumbua sakayo
Aseme ukweli bhanaEti umesema!! Ngoja nawe nianze kukuchunguza, lazima kuna namna sio bure, kuna mtu anapita kimya kimya utanieleza tu ni nani huyo!!!
Kaka yake.kwahiyo ulijua ni nani yake shangazi
Sakayo yupo mikono salamaMarahaba mkwe, lazima niwe mkali, hawa watoto wananipeleka mbio kweli mkwe!!
Ndio shangazi, hadi uwe duara.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kufutuka zaidi ya hapa
Wewe ndio unitambulishe bhanaKwa nini usijitambulishe lakini
Hahahanaona mtanidai mpaka jinsia yangu [emoji125]
Utastukia tu nimefika maana namba hamtaki kunipa, kumbe mumewaweka naniliu wasapu mnajua nitawaona!!!Mmmmh
Anti akee yamekuwa hayooo
YaaniJifanye una makengeza tu leo.
Marahabaaa!! Karibu nyumbani mkwe.Shikamoo Aunt
Mbona wewe uliniharibulia mimiDada yangu bado mtoto..
Muacheni
HapanaAunty usije tu ukala mahari kama shunie.
Alafu mnakwenda wapi?Chonde chonde aunty...!
Huwa namfata sakayo home kabisa , then natoka naye..
MmmmhMarahaba mkwe, lazima niwe mkali, hawa watoto wananipeleka mbio kweli mkwe!!
Bado kweliIsije ikawa nawe ushakula!!
Kawaida yenu kuteteana hadi niwafumanie. Mwambie na shunie amlete lemutuz wake haraka!!Aseme ukweli bhana
Sema yote bhanaChonde chonde aunty...!
Huwa namfata sakayo home kabisa , then natoka naye..