Happy BDay lady....Smooth Operator still my all time favorite
Asante...kumbe watu wa zamai tupo wengiYeah, music mzuri sana huu
Asante...kumbe watu wa zamai tupo wengi
Happy BDay lady....Smooth Operator still my all time favorite
Nimeutafuta...kumbe ni majibu ya original version, mzuri piaKuna kikundi kinaitwa Mi Casa, South African-Brazilian mix..wameupiga upya huo wimbo wa 'Smooth Operator'...you must listen to that version, ni soo!
Huyu mama ana mainatain sana youthfulness yake hasa kutokana na hiyo diet. Ni product ya Mnigeria na Mwingereza na hajaathiriwa na ulevi wala scandals kama walivyo mastars wengi. Smooth operator iliyotamba miaka ya 80 ndiyo iliyomtambulisha zaidi kimataifa.