Happy Birthday to international singer, Sade! She turns 54 years young today!

Aisee,nampenda sana huyu mama wa cherish the day,by your side,etc.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Asante...kumbe watu wa zamai tupo wengi

Huyu mama ana mainatain sana youthfulness yake hasa kutokana na hiyo diet. Ni product ya Mnigeria na Mwingereza na hajaathiriwa na ulevi wala scandals kama walivyo mastars wengi. Smooth operator iliyotamba miaka ya 80 ndiyo iliyomtambulisha zaidi kimataifa.
 
Happy BDay lady....Smooth Operator still my all time favorite

Kuna kikundi kinaitwa Mi Casa, South African-Brazilian mix..wameupiga upya huo wimbo wa 'Smooth Operator'...you must listen to that version, ni soo!
 
Nimeutafuta...kumbe ni majibu ya original version, mzuri pia
 
King of sorrow-sade, humu alifunguka pia vizuri sana. Though she's 54,bt anaonekana kama 30 somethin'.
 
Huyu mama ana mainatain sana youthfulness yake hasa kutokana na hiyo diet. Ni product ya Mnigeria na Mwingereza na hajaathiriwa na ulevi wala scandals kama walivyo mastars wengi. Smooth operator iliyotamba miaka ya 80 ndiyo iliyomtambulisha zaidi kimataifa.

May be, but i thought cherish the day!
 
Ndio kusema hivi tunavyoongea kufikia Mwaka huu 2019 ameshatimiza Miaka 60.

Anastahili pongezi
 
Back
Top Bottom