Happy birthday to Jr

Happy birthday mkuu.

Ila naomba dawa ya kutoa mikosi,maana kila dem nnayempata baada ya siku mbili lazima apate matatizo,mara mdogo wake kafukuzwa shule sababu ya ada,mara mama ake anaumwa anahitaji hela,mara simu yake imedumbukia kwenye maji anahitaji mpya n.k.
 
Chumaulete hiyo dawa yake masizi
 
Wamekuandalia nini hasa baada ya madrip nadhani unahitaji mtori tu basi hahahaha.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wameniandalia dona Dada[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Chuma ulete hii ipo kwa madem wa kibongo tu? Maana wakati nilipokuwa abroad nilipataga dem wa kiarabu ila hakuwa na hizi habari.
Ni uchawi wa kikanda [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji320][emoji320][emoji320][emoji320][emoji512][emoji512][emoji513][emoji513][emoji486][emoji483]happy Born Daudi Mr Jr
 
[emoji320][emoji320][emoji320][emoji320][emoji512][emoji512][emoji513][emoji513][emoji486][emoji483]happy Born Daudi Mr Jr
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Daudi[emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…