Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekuandalia nini hasa baada ya madrip nadhani unahitaji mtori tu basi hahahaha.[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] thanks dada
Chumaulete hiyo dawa yake masiziHappy birthday mkuu.
Ila naomba dawa ya kutoa mikosi,maana kila dem nnayempata baada ya siku mbili lazima apate matatizo,mara mdogo wake kafukuzwa shule sababu ya ada,mara mama ake anaumwa anahitaji hela,mara simu yake imedumbukia kwenye maji anahitaji mpya n.k.
Chuma ulete hii ipo kwa madem wa kibongo tu? Maana wakati nilipokuwa abroad nilipataga dem wa kiarabu ila hakuwa na hizi habari.Chumaulete hiyo dawa yake masizi
Sasa hayo masizi nawapaka usoni au vipi? [emoji23][emoji23][emoji23]Ni uchawi wa kikanda [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Duh mda gani najipaka?Unajipaka[emoji3] [emoji3]
Ila sipaki usoni mkuu,maana nisije nikatoswa [emoji23][emoji23][emoji23]Kila ukitaka kuonana nao
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mkuu unataka kuniambia hayo masizi inabidi nipake usoni?[emoji23] [emoji23] [emoji23] basi kumbe unajiloga mwenyewe