Happy birthday to Jr

Happy birthday to Jr

Sio mapenzi kama mapenzi tunayoyajua ila ni upendo. Sie katoliki tunafundishwa kuwa amri kuu aliyotuachia Bwana Yesu ni Upendo. Kuna amri kumi za Mungu lakini zote Upendo una apply. Kwa mfano. kama una upendo huwezi kumuua mwenzako, kama unapendo huwezi kuwakosea adabu wazazi wako, huwezi kulitaja jina la Mungu bure, huwezi kumtani mke au mali ya mwenzako, huwezi kuzini na wala huwezi kusema uongo.

Dah, shemeji naona umeamua unipeleke kanisani kabisa.

Naomba tu tusifikie muda wa sadaka.
 
kama una sadaka au zaka nitakupa namba zangu za simu utume, ukituma kwangu hakika itakuwa imepaa na kupokelewa kwa baba juu mbinguni😀😀😀😀
 
Baraka tele ziwe juu yako na familia yako daima muamini na kumshukuru Mungu aliyekupa uhai
 
Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwako Jr, Mungu akupe miaka mingiiiiiii kweli kweli, tumezaliwa mwezi mmoja sema ww ukawahi sijui sababu ya kuroga
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
HBD Mtoto mpya,
Live long Chief,
Na jina jipya nakupa kuanzia leo utaitwa
Sir Mshana
 
Back
Top Bottom