Desire mobutu seseseko
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 987
- 1,426
Habari wakuu.. kwanza kabisa ningependa kumshukuru Mungu kwa kuongeza mwaka mwingine siku ya leo.. Ahsante kwa wazazi wangu wote wawili.
Umri unaenda kasi mno tusijisahau kwenye mambo ya msingi katika kujijenga kiakili, kiuchumi na kijamii
Ahsante!!
Umri unaenda kasi mno tusijisahau kwenye mambo ya msingi katika kujijenga kiakili, kiuchumi na kijamii
Ahsante!!