Happy BirthDay to me A

Happy BirthDay to me A

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Nilizaliwa Jumamosi July 15 na Leo Ni Jumamosi July 15, Ahsante Mungu Baba Kwa Kunipa Pumzi na uhai wa kuuona Huu mwaka Mwingine wa Baraka Kwangu!

Uhimidiwe ee Mungu Baba Mwenyezi!
 
Hongera kwa kutimiza miaka kadhaa

Mrs Van
 
Umetoa sadaka?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Umetoa post saa tisa mchana mpaka sasa ata kurasa haijaaa ingekuwa jinsia nyingine ...

happy b day anyway
 
Back
Top Bottom