Happy birthday to me Da'Vinci..

Happy birthday to me Da'Vinci..

Nikusaidie kiduchu mimi ni mama wa watoi wawili. Wa kwanza yupo darasa la tano. Do the calculation [emoji23][emoji23][emoji23]
Ameanza shule akiwa na miaka 3, ongeza 5 napata 8.

Umempata baada ya mwaka 1 wa ndoa, ndoa ina miaka 9.

Umeolewa ukiwa na miaka 25, ongeza 9 napata 34.

Umri wako ni miaka 34.

Bado mbichi hivyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aagh, umejitahidi kidogo lkn bado umenipunja. Kama ni mtihani una 55 marks
 
Mtoto chekechea kaanza akiwa na miaka 3, la kwanza akiwa na miaka 5, ongeza 5 napata 10.

Umempata mtoto baada ya mwaka 1 wa ndoa, ongeza 10 napata 11.

Umeolewa ukiwa na miaka 25, ongeza 11 napata 36.

Una miaka 36.

Hata ubishe hauzidi hapa.
 
Hahahahaa chemsha bongo hii

Kweli alianza vidudu akiwa 3, hakuanza lakwanza, alirushwa direct std 2, Ana 9yrs

Kweli niliolewa na 25yrs [emoji23][emoji23][emoji23]

Umepatia kidogo tu
 
Una miaka 35.

Nakomea hapa na ndio jibu sahihi.
 
Back
Top Bottom