Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshangaa kumbe ni mtoto wa juzi tuMbona washangaa na mwaka beingsingle?
Ahahaha!! Huyu dogo ni mwanangu sana hadi nimemfollow sema sometimes anakuwaga na akili za mazuzu kama Baba Swalehe, mwezi ukiwa nchanga. [emoji23] [emoji23]hahaha this is how bestfriends wishes....safi sana, umenifurahisha sana Humble African.
Happy new age Da'vinci
Hayo ndio miongoni mwa mambo mazuri yaliyomo JF, kuna wajukuu, watoto, makaka, madada, wamama, wababa, mabibi na mababu, ni mchanganyiko wa kupendeza wenye kuleta ladha tofauti ya mawazo na fikra katika michango na nyuziNimeshangaa kumbe ni mtoto wa juzi tu
hahaha ila si kakwambia ukweli mchungu, rafiki zangu mm yani hata hayo aliyosema Humble African yanaunafuuJamaa mshenz sana huyu humble anadhani kufa ni kama kupiga chafya...
Thanks mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahahaha!! Huyu dogo ni mwanangu sana hadi nimemfollow sema sometimes anakuwaga na akili za mazuzu kama Baba Swalehe, mwezi ukiwa nchanga. [emoji23] [emoji23]
Wanaume tuna mambo ya ajabu sana. nina rafki Hatujawah salimiana kawaida. ni wee msengee, wee mbwaa, wee faraa wee Boya mambo vipi. mambo niajee wee pakaa. hafu mchizi wanguu kinyama yaanihahaha ila si kakwambia ukweli mchungu, rafiki zangu mm yani hata hayo aliyosema Humble African yanaunafuu
Ha ha ha umenichekesha kuniita jina la zamani.Ahsante sana mpenz Ringson
Mkopo siku ya birthday unataka kuinvest kwenye nn mkuu, isiwe unataka kupombeka nao[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ahsante ila hbd yangu itakua poa ukinipatia mkopo bila riba
Uchokoz huu[emoji23] [emoji23]Duh, 199.?
Haya heri ya kuzaliwa mwaya