Happy Birthday to me, JamiiForums please wish me

Happy Birthday to me, JamiiForums please wish me

Mkuu wewe ni ME au KE?
Sasa Ndugu yangu.....hivi wewe umepimwa akili kweli? Au umelogwa?

Ina maana kwa kuitizama tu ID yangu umeshindwa kubaini mi jinsia gani?

Mitoto iliyozaliwa mikoani ina mambo ya hovyo sana!
 
Heri ya kuzaliwa Mkuu.

Japo mie hata sikumbuki kabisa nilichokifanya nikiwa mchanga wakati nimezaliwa. We uko vizuri Mkuu mana unakumbuka hadi mlivyokuwa mnalia. Lol
Akili mtu wangu...Maza ananiambia siku hiyo madaktari wote walikua wamekasirika,...walikua wanakazi ya kuwa koa ( kuwagonga ng'wenzi) watoto wote waliokua wanazaliwa. Hawakuhangaika kabisa na kuwapigapiga migongoni wala kwenye Matako.
 
Habari za wakati huu ndugu zangu.

Leo ni birthday yangu. Nawamiss sana watoto wenzangu tuliozaliwa wote pale Hospitali ya Ocean Road, Dar es Salaam. Nakumbuka tulilia sana siku ile, ilikua ni fujo balaa. Mama zetu walihangaika sana kutumbeleza lakini wapi.

Happy birthday to me.
Nami pia nilizaliwa tarehe 21 March.
Mungu akuongezee umri na afya tela mkuu
 
Jamii forum imefikia huku!?? Au huyu ni mvulana!?? Mwanaume unapata muda wa kutaka wishes za birthday..!?? Dah!
 
Sasa Ndugu yangu.....hivi wewe umepimwa akili kweli? Au umelogwa?

Ina maana kwa kuitizama tu ID yangu umeshindwa kubaini mi jinsia gani?

Mitoto iliyozaliwa mikoani ina mambo ya hovyo sana!
Sasa kwenye ID kuna jinsia hapo? Au neno Mzee ulivyokariri linatumika kwa jinsia Gani? Hujui mwanamke na mwanaume wote wanaweza kuwa wazee? Mimi na wewe nani anastahili kupimwa akili hapo kulingana na uelewa wako wa neno Mzee?

Mavi yako yatakuwa hayana ncha wewe.. mwanaume unaleta mambo ya kuwishiwa siku ya kuzaliwa?

kosa walofanya wazazi ni kukuzalia Dar, ungekuwa mikoani usingepoteza marinda kama ulivyopoteza hivi sasa.. f***k you
 
Jamii forum imefikia huku!?? Au huyu ni mvulana!?? Mwanaume unapata muda wa kutaka wishes za birthday..!?? Dah!
Na hapo usipoliwish linanuna,, yaani kuna mijitu ni Bure kabisa
 
Back
Top Bottom