MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
- Thread starter
-
- #21
Sasa Ndugu yangu.....hivi wewe umepimwa akili kweli? Au umelogwa?Mkuu wewe ni ME au KE?
Akili mtu wangu...Maza ananiambia siku hiyo madaktari wote walikua wamekasirika,...walikua wanakazi ya kuwa koa ( kuwagonga ng'wenzi) watoto wote waliokua wanazaliwa. Hawakuhangaika kabisa na kuwapigapiga migongoni wala kwenye Matako.Heri ya kuzaliwa Mkuu.
Japo mie hata sikumbuki kabisa nilichokifanya nikiwa mchanga wakati nimezaliwa. We uko vizuri Mkuu mana unakumbuka hadi mlivyokuwa mnalia. Lol
Huna pesa tuUkiona mtu mzima ana tabia za kitoto kuna stage ya makuzi aliruka
Kipimo cha ukwasi ni nini?Huna pesa tu
Nami pia nilizaliwa tarehe 21 March.Habari za wakati huu ndugu zangu.
Leo ni birthday yangu. Nawamiss sana watoto wenzangu tuliozaliwa wote pale Hospitali ya Ocean Road, Dar es Salaam. Nakumbuka tulilia sana siku ile, ilikua ni fujo balaa. Mama zetu walihangaika sana kutumbeleza lakini wapi.
Happy birthday to me.
Happy birthday UshiNami pia nilizaliwa tarehe 21 March.
Mungu akuongezee umri na afya tela mkuu
Asante mkuu, ila mazidi kuchakaa..😓Happy birthday Ushi
Ndio ukubwa huoAsante mkuu, ila mazidi kuchakaa..[emoji29]
Sasa kwenye ID kuna jinsia hapo? Au neno Mzee ulivyokariri linatumika kwa jinsia Gani? Hujui mwanamke na mwanaume wote wanaweza kuwa wazee? Mimi na wewe nani anastahili kupimwa akili hapo kulingana na uelewa wako wa neno Mzee?Sasa Ndugu yangu.....hivi wewe umepimwa akili kweli? Au umelogwa?
Ina maana kwa kuitizama tu ID yangu umeshindwa kubaini mi jinsia gani?
Mitoto iliyozaliwa mikoani ina mambo ya hovyo sana!
Na hapo usipoliwish linanuna,, yaani kuna mijitu ni Bure kabisaJamii forum imefikia huku!?? Au huyu ni mvulana!?? Mwanaume unapata muda wa kutaka wishes za birthday..!?? Dah!