Happy Birthday to me; leo ndio siku yangu ya kuzaliwa karibuni nyote marafiki zangu

Happy Birthday to me; leo ndio siku yangu ya kuzaliwa karibuni nyote marafiki zangu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
images.jpg
HAPPY BIRTHDAY TO ME.jpg
Happy Birthday to you! 53 years.jpg


HELO MARAFIKI ZANGU LEO NI SIKUKUU YANGU YA KUZALIWA NINAJIPONGEZA KWA KUZALIWA TENA UPYA NINAMSHUKURU ALLAH KWA KUNIWEZESHA KUWA MZIMA MPAKA LEO KUIONA SIKUKUU YANGU YA KUZALIWA ALHAMDU-LILLAH KARIBUNI NYOTE TULE UGALI KWA KAUZU.
 
Hiv had wakubwa wanasherekea hii kitu?
Anyway Heri kwa siku ya kuzaliwa.
Mkumbuke sana mama yako kwan ye ndo aliamua uwepo Duniani
 
Back
Top Bottom