fareed uziel
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 657
- 710
- Watu watakuuliza unajishughulisha/ kazi yako nini ili wajue kiwango cha heshima ya kukupa
- Kama hujaanza kufanya kitu, hakitatokea kitu
- Kila mtu ataku-judge kutokana na muonekano wako
- Watu wachache sana watavumilia na kufurahi wakiona umefanikiwa kuliko wao.wakiwepo wazazi wako na mwalimu wako
- Kama haupo tayari kufeli,basi hutofanikiwa na chochote unachoanzisha
- Without losers we can never have winners, kuna mtu lazima apoteze ili mwengine ashinde, maisha hayapo fair na usitegemee matokeo yanayofanana kwa kila mtu
- Vitu vigumu kuvisimamia ni pesa na wanawake
- Mahusiano mengi hufa watu wakijuana vizuri sana
- Watu ambao hawajui wafanye nini maisha yao ndio wengi wanageuka kua life coach na motivational speaker
- No unconditional love
Mengine ongezeeni.