Happy Birthday to Me: Mambo kadhaa niliyojifunza katika maisha haya mafupi

Happy Birthday to Me: Mambo kadhaa niliyojifunza katika maisha haya mafupi

fareed uziel

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
657
Reaction score
710
  1. Watu watakuuliza unajishughulisha/ kazi yako nini ili wajue kiwango cha heshima ya kukupa
  2. Kama hujaanza kufanya kitu, hakitatokea kitu
  3. Kila mtu ataku-judge kutokana na muonekano wako
  4. Watu wachache sana watavumilia na kufurahi wakiona umefanikiwa kuliko wao.wakiwepo wazazi wako na mwalimu wako
  5. Kama haupo tayari kufeli,basi hutofanikiwa na chochote unachoanzisha
  6. Without losers we can never have winners, kuna mtu lazima apoteze ili mwengine ashinde, maisha hayapo fair na usitegemee matokeo yanayofanana kwa kila mtu
  7. Vitu vigumu kuvisimamia ni pesa na wanawake
  8. Mahusiano mengi hufa watu wakijuana vizuri sana
  9. Watu ambao hawajui wafanye nini maisha yao ndio wengi wanageuka kua life coach na motivational speaker
  10. No unconditional love

Mengine ongezeeni.
 
At least you’re not as old as you will be next year. Mungu akupe maisha marefu yenye kheri na mafanikio mema.
 
fareed uziel,

Dah..Happy Birthday bosi. ...
Vipi umejifunza nini kuhusu GF mnene?
 
Dah... Happy Birthday bosi. ...
Vipi umejifunza nini kuhusu gf mnene? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji41]
They are lovely and cute,hawaringi pia wanajali sana..sio wajeuri na watamu sana
 
Dah... Happy Birthday bosi. ...
Vipi umejifunza nini kuhusu gf mnene? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji41]
Mbona hukunitag kwenye hili tangazo kweli una roho mbaya[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom