colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,443
- 2,912
Nitangulize salam kwa ndugu , kaka na dada zangu wa jf
Kwa hakika leo ni sku ya furaha kwangu si tu kwamba ni kumbukumbu ya siku yangu ya kuzaliwa bali ni kwamba nimetimiza malengo yangu ambayo nilijipangia mwaka , tarehe na mda huu kua niwe tayar nimeshayatimiza
Najua ndugu zangu hali ya maisha ni mbovu sana for majority ya watu hapa bongo na changamoto lukuki za kimaisha ila leo nataka tufrahike wote hapa jf
Hivyo mtu ajiskie huru ktk huu uzi yaani sema vile unavyojiskia juu yangu hata kma nilikuudhi one day ktk commet unaweza kutupia lawama zako au kuuliza swali lolote
Nimalizie na some few motivation quotes ili tuiimarishe our positive attitude
We only live once but if u spend well ur time , once is enough
Everything happen in our life for a reason , stop trying to change ur past
No body is perfect in this world and don't ever pretend to be
We make mistake once , twice or thrice what matter the most is to learn through experience to do it better next time
Nisiwachoshe sna ndugu niseme
Happybirthday to me ....
Cheeeeaarsssss