Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Shukran sana bint mzuri kama roho yako ilivyoo mim nakupenda swaa πHappy Birthday Mwachi
Shukran sana bint mzuri kama roho yako ilivyoo mim nakupenda swaa π
Umekosea jina ningekupa keki πππHappy Birthday Felixπ
Yappp fei toto ππUngesubiri edit bana nimeiona hio fel sijui fei totoπ€£π€£π€£π€£
Asante
Amina binti mpotevuIshi sana wewe π₯³π
Thanks mama mchungaji usiku uniweke kwenye maombibirthday blessing chief
Sawa nidhulumu tuUmekosea jina ningekupa keki πππ
imeisha hiyoπThanks mama mchungaji usiku uniweke kwenye maombi
ya kwako lin nikuletee kipulizo, nyonyo na ponponππUnasherehekaje birthday mtoto wa kiume?
Anyways ishi saana mkuu
ππ tena ningekupa na wine mojaaSawa nidhulumu tu
ππ tukifika 45 tutaacha bossUnasherehekaje birthday mtoto wa kiume?
Anyways ishi saana mkuu
Aminaa bossHappy birthday Mike, ikawe kheri kwako mara nyingi .
Wako kwenye usaili hope ,taarifa unazo