Hongera.Leo natimiza miaka 32 tangu niletwe Duniani.Nimemshukuru mama Sana Kwa kila kitu.Lakini pia namshukuru Mungu Kwa kunipa uhai na pumzi bure.Changamoto za maisha napambana nazo pia kutafuta mkate na maisha mazuri kwaajili ya familia nitakayopata mara baada ya kuoa.Tuzidi ombeana Sana.Nawapenda Sana Wana jf wote,na nawaheshimu Sana.
Mungu awabariki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana Sana mkuu.Sometimes huwa naona kama jf ni ya watu fulani.Hebu fikiria angekuwa Demiss ndo birthday yake hapa? Anyway maisha yanasonga.Hbd ... hongera mkuu
BTW nyinyi watu msio na makundi humu thd zenu huwa zinarukwa kama " kinyesi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaa jamani my beautiful dada!!!!mie bado kavulana kabisa.Hata mwonekano wangu unaonesha hivo.Kumbe babu shikamoo nakuchatishaga kama kivulana [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sn sn my dear dada.Heri ya mfano wa siku ya kuzaliwa
Umri unaenda Sasa...Mungu akupe vyote unavyohitaji kaka
Happy Born dei dear
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo natimiza miaka 32 tangu niletwe Duniani.Nimemshukuru mama Sana Kwa kila kitu.Lakini pia namshukuru Mungu Kwa kunipa uhai na pumzi bure.Changamoto za maisha napambana nazo pia kutafuta mkate na maisha mazuri kwaajili ya familia nitakayopata mara baada ya kuoa.Tuzidi ombeana Sana.Nawapenda Sana Wana jf wote,na nawaheshimu Sana.
Mungu awabariki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ni Me....siku zote nilikuwa nafikiria ni Ke
Haha jf bwanaKabisaa...utashangaa hapo mwana kundi akiwekea yake ndan ya masaa matatu 1k inasoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Yesu akutunze