Happy birthday to me.Nazeeka aisee.

Happy birthday to me.Nazeeka aisee.

Leo natimiza miaka 32 tangu niletwe Duniani.Nimemshukuru mama Sana Kwa kila kitu.Lakini pia namshukuru Mungu Kwa kunipa uhai na pumzi bure.Changamoto za maisha napambana nazo pia kutafuta mkate na maisha mazuri kwaajili ya familia nitakayopata mara baada ya kuoa.Tuzidi ombeana Sana.Nawapenda Sana Wana jf wote,na nawaheshimu Sana.

Mungu awabariki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera.

Ila na baba anastahili kushukuriwa - alisaidiana na mama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Happy birthday

Back
Top Bottom