Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,028
akija atakwambia!
hivi umeongea na mama yako kuhusu wachumba zako?!?!?
Marahabaaa......
Nimesubiri weeee nione nani atajipendekeza lakini hola! Imekula kwangu mazima.
Anyway nimetoka mbali wakulu
Katoto katundu....
Kijana mtukutu, mbunifu, mkaguzi na asiyependa kupitwa na jambo...
Kijana rijali mwenye mhemko wa kibaiolojia, mabinti hawakukatiza kirahisi....
Mzee wa makamo anayeenda na wakati.....
Mzee Brazamen anayejichanganya kitaa.....
Na Sasa...........Mzee mtu mzima aliyeamua kutulia.....
Bado maisha yanasonga mbele!!
Ahsante Mungu kwa kuniweka hai mpaka leo, kunijalia afya tele na maisha ambayo najisikia amani duniani.
Ahsante Mama kwa kunizaa, kunilea na kunitunza kwenye maadili mema.
Ahsante Baba kwa kumuoa mama, na kumpa nafasi na uwezo wa kufanya yote aliyonitendea huku ukiwa kioo cha maisha yangu.
Ahsante mke wangu kwa kukubali kuolewa na mimi na kuishi na mimi kwa mapenzi ya hali ya juu (shenzy zao waliokuwa wakikumendea ukawapiga chini)
Ahsante wanangu kwa kuwa watoto wazuri, kuheshimu wazazi ndugu jamaa na marafiki na kuwa mfano bora kwa watoto wenzenu. (Sijawahi juta kuwa baba yenu)
Ahsante walimu wangu, wallah bila chaki zenu ningekuwa mkulima stadi aliyechoka mbaya
Ahsante TBL, SBL, TDL, Grants, kwa kuhakikisha maisha yangu yanakuwa ya burudani tele na ubongo wangu kuwa na utulivu
Ahsante Condoms (Hapa sina cha kusema zaidi, dongo lingeshanifukia siku nyiiingi)
Ahsante mabaamedi.... anyway.
Mwisho lakini siyo kwa umuhimu, Ahsante JF members hasa CC na MMU kwa kunifanya niwe na marafiki wa ukwee waliopatikana kwa uwezo wa vidole vyangu...
Kwa watakaokuwa na nafasi, tafrija ya shukrani itafanyika Etiennes Bar, Boko Basihaya Kaunta ya Juu.
Wanajamii kumi watakaofika wa kwanza watapata bia tatu baridi za bure na wataruhusiwa kujichagulia mhudumu wa kuwahudumia.
Mungu awabariki sana, na karibuni nyote katika safari ya kulijongelea kaburi.

Mkuu kuzifuata nyayo za huyu babu inahitaji kujipanga maana mwisho wa siku unaweza tafuna ripoti ya ukaguzi....
Wewe jiwe nakutazama tu ujue...Alikopa naniliyuu ndo nini??Ipo siku yako nitakutolea uvivu
kwi kwi kwi kwi! huwa unanifurahisha sana, upo baba??
:confused2::confused2::confused2:HBD ODM..!! Ila hicho pikya hapo khaaa!!! anataka kuondoka na saburi la mwenzie..!!!?
Your happiness is my breath. Love you too darling.... Please usife kabla yangu!:A S 100:Am happy kwa siku ya leo, hata kama sitakutia machoni,nitakunywa kwa niaba yako! Luv u more!
Oh laaziz kupendwa na wewe ni baraka kama ya cacico kumpigia kura Riziwani Jakaya. Senkyuuuu!!Happy Birthday Asprin,nakupenda sana mpenzi.
Mimi na wewe ni kitu kimoja charminglady, kuna haja ya kugombana?:mwaaah::mwaaah::mwaaah:Babu Asprin unaona haya maneno¿ je yana ukweli wowote????
Eti wifey waeza kumwigiza kuku kutaga kabla hajajifungua?geza geza! Hubby wabunie ya kwao, wanadesa mpaka midomo yetu!
.....heheheheh wifey bana..... KUFA HAKUNA BREKI!!!:shut-mouth::shut-mouth:he he he he he !afanalek wallahi, kweli usimuamini mtu, hata kivuli chako kikimbie! Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hubby Asprin kuja pande hii!
Mkuu senkyuuu...... SALUTE!!! Pamoja saaaaana!
Senkyuu veri machi. Kumbe nawe ni wa Aquarius? Karibu kwenye ufalme wetu na Preta. Utafiti umethibitisha wooote waliozaliwa January wataurithi ufalme wa mbinguni..... Wabarikiwe wababa waliowalala wamama zetu Mei Mosi, yaani I meam wamefanya KAZI mwezi wa Wafanyakazi! NDOA na iheshimiwe na watu wote.Makubya..........Happy Bithday lakini kumbe nimezaliwa mwezi moja na nguli la kutuliza maumivu, hata tarehe nazo hazipishani sana......Happy birthday sana ODM
Amina nivea. Amina mama! Naam, mbege hapa unaichuka kwa ATM machine.Hapy bday babi odm a.k.a Asprin mungu akujalie kheri na baraka tele wamtumainio mungu hata wakifa bado wanaishi ,una miaka mingi sana yakuishi duniani .vipi hapo inauzwa mbege
Eti nivea hapo kwa red ulimaanisha baby eh? Senkyu very much my baby nivea! ODM luvs you too.Hapy bday babi odm a.k.a Asprin mungu akujalie kheri na baraka tele wamtumainio mungu hata wakifa bado wanaishi ,una miaka mingi sana yakuishi duniani .vipi hapo inauzwa mbege
Shhhiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!! wivu siyo dawa kiongozi.....! Naomba mwongozo wako mheshimiwa:becky::becky::becky:Babu ODM naona leo watu wanatangaza nia...naona haya ndio matunda ya kaguzi zako...
Thanks, Pal.Happy birthday..
Hakika jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la msingi, tena la pembeni......A prayer 2 bless ur way,
A wish 2 lighten ur moments
A cheer 2 perfect ur day
HAPPY BIRTH DAY MKUU
Hapo ndipo unapokosea..... ng'ombe hazeeki maini.hahahaha babu unazeeka na Medeni?? haiwezekani sema wajukuu wakulipie au ulikopa ileeeeeee........naniliu !!!!!
Eti neggirl unajua kuwa nakupenda? Nifanyeje ili uniamini???Asprin nimechekaaa balaa hii birthday wish iko unique sana.
Haya mola akujalie miaka mingi zaidi .. Uongeze na picha nyingine lol
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Amina mzee mwenzangu...... Kwenye White Party nahisi utakuwa MC wetu. Nimefurahi kukufahamu....:majani7::majani7:Happy B.day mzee mwenzangu.
Mambo mengine si ya kusema hadharani. Utaniletea foleni ujue..... Nakupenda pia, nakutaka pia.watu8 shem, napenda Ukaguzi wa ODM,
Yani hadi nalala.
Sasa hapa ndipo unapoanza kuharibu. Hivi ukoje?nipo shost nakulindia huo mzigo maana Asprin hakawii kuwaongezea independent kha
Hivi we mchumia juani, mbona unapenda kunitilia sukari kwenye mboga?.........Shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!Mkuu kuzifuata nyayo za huyu babu inahitaji kujipanga maana mwisho wa siku unaweza tafuna ripoti ya ukaguzi....
Ahsante bi mkataa kukaguliwa Ennie, hivi mpenzi nisipokukagua utaolewa na nani? Unaipoteza bahati yako mchana kweupe? Watakucheka watu......:becky::becky::becky:Happy birthday Babu Mkaguzi Mkuu.
:confused2::confused2::confused2::confused2:mzima mamito??? unajua nakutegemea White Party utokelezee, please usiniangushe mzee mwenzio kama nivea...
Niko na karama kuu kupendwa na Rich woman, OMG will you marry me? Tugawane haka kaumaskini mama tajiri. Huta regreti, huna cha kupoteza. Utu uzima dawa!.....LOLyaani yangu ile around the corner
haapy besidei babuuu Asprin AND MISSED YOU ALOT......:A S 11:
Ahsante mkuu Ruttashobolwa.... Oh boy.... be at your age, mimi kweli napaswa kutafutiwa kijana wa kunisadia ukaguzi? At this ujana eji? God Forbid!.....:madgrin::madgrin::madgrin:Happy birthday babu Asprin nimekutafutia kijana atakaye kusaidia kwenye ukaguzi!
We amu amu amu ..... tuna nini mimi na wewe? Hivi unajua mama yangu ni mwanamke kama wewe? Mtoto wa mwanamke mwenzio ni mwanao...MPENDE!!Happy birthday to you mu super buziiii uje ule tuna lako ulipndalo nimekkuandalia
OMG!!!! Thanks YNNAH.... I think:A S 100: am in love with you....Happy birthday Asprin
Mods please delete this bulshit post..... I hate it!Uuuwii... Mbona sikuona haya malove mapema? Filipo kweli ? Love you too darling..mwaaaaaaaa
Well well well......... Now you are talking..... bebs, hivi wajua inbox yangu kwa PM nimebakiza nafasi yako tu? Please do the needful before I Rest In Peace..... Endelea kumpenda Filipo, lakini please endelea kuishi na moyo wangu. Nimekukabidhi wote uutumie utakavyo..... (MIJITU YENYE WIVU IMEMAINDIJE SASA?)
Huyu babu leo kazi anayo...mbona mwamkomaza hivyoooo!!!
Labeka manoah, umeniita?
Thats my girl!! Amekuelewa?kalala!! embu muache!!!
Niko huku martenity Ward, waeza kuja kunisaidia kutuliza maumivu ya hawa kina mama walotoka kujifungua??:becky::becky::becky::becky::becky:umesahau kuishukuru asprini ka jina lako lilikupa ahueni pale uliposhikwa na maleria
Shukrani sana mkuu Don Mangi..... Am humbled!!😛op2:happy belated birthday Asprin
Oh...Thats so kind of you mimisa... Thank you....:cheer2:Hapi besdei..Mungu akupe maisha marefu yenye baraka tele.
Yani we ndo umechelewa kuniwish namna hii? Nimesusa mpaka unibusu.:shut-mouth:Happy Birthday ODM
NAkutakia maisha mareeefu kama waya wa grid ya tanesko
Afu kwa nini hukunibip nije kukata keki?
Oh...Thank you honey.... Ila nimekasirika. nadhani unajua kwaninini. Tubu kisirisiri charminglady asikusikie.......:A S 100::A S 100:happy birthday Asprin my hubby.....
Hongera kwa kupunguza siku zako za kuishi.....
ulilala salama my dear Mamndenyi?!?! mie mzima kabisa nakuhofia wewe...nahisi hukulala kwa mawazo!! na pia labda presha imepanda!! ila niliyoyakuta huko.......sidhani kama ntaweza kuyaacha!!! Nisamehe sana!!
cc: Vin Diesel
Paloma ujue mimi ni shangazi yako lakini,
mizimu ikichukia shauri zako.
Mimi niko poa kabisa pia nina furaha ya kutosha kabisa,
karibu chai hapa kijiweni kwetu.