Yani we ndo umechelewa kuniwish namna hii? Nimesusa mpaka unibusu.:shut-mouth:
ulilala salama my dear Mamndenyi?!?! mie mzima kabisa nakuhofia wewe...nahisi hukulala kwa mawazo!! na pia labda presha imepanda!! ila niliyoyakuta huko.......sidhani kama ntaweza kuyaacha!!! Nisamehe sana!!
cc: Vin Diesel
Niliyokutana nayo jana yanastahili kuanzishiwa uzi maalum....ngoja kwanza niamke maana wakati Mamndenyi kalala wengine tulikesha...
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Niliyokutana nayo jana yanastahili kuanzishiwa uzi maalum....ngoja kwanza niamke maana wakati Mamndenyi kalala wengine tulikesha...
Vin Diesel ,
ulikuta nta eeh.
Vin Diesel hapa pana kila dalili ya ukweli zaidi ya cc.
Paloma usijiamini sana kwa Vin Diesel ukweli ni kwamba hawezi kuniacha.
kwani mie nna neno dear!! yeye mwenyewe atasema!!! isitoshe siko mimi peke yangu..................(....)
Ni kweli
Tupo millioni 44 na laki 9.....o mamaaaaah
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Paloma usijiamini sana kwa Vin Diesel ukweli ni kwamba hawezi kuniacha.
Kwa niliyopata jana usiku naomba nikuombe usijiamini sana....
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Vin Diesel kumbe upo.