Happy birthday to me + [picha]

Rudia tena kusoma post yangu ya mwanzo kabisa huenda ikakusaidia kuacha kuuliza maswali ya kitoto.
Kumbe na wanaume hua wanafuatilia hii kitu?
Asili yake wapi haya mambo? au kuiga tuu?
Nimequote haya maneno yako hapa.

Ninauliza ''Mbona Waislam mnafuatilia na kusheherekea ''MAULID'' ambayo ni sherehe ya kuzaliwa Mtume wenu Muhammad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…