Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu Maulid ya Mtume Muhammad (S.A.W)Kumbe na wanaume hua wanafuatilia hii kitu?
Asili yake wapi haya mambo? au kuiga tuu?
Mbona umeshajijibu tayari?Vipi kuhusu Maulid ya Mtume Muhammad (S.A.W)
Au Maulid sio sherehe ya kuzaliwa Mtume?
Sawa, kwahiyo Mwanaume kusheherekea Birthday kuna tatizo au ajabu?Mbona umeshajijibu tayari?
Rudia tena kusoma post yangu ya mwanzo kabisa huenda ikakusaidia kuacha kuuliza maswali ya kitoto.Sawa, kwahiyo Mwanaume kusheherekea Birthday kuna tatizo au ajabu?
Rudia tena kusoma post yangu ya mwanzo kabisa huenda ikakusaidia kuacha kuuliza maswali ya kitoto.
Nimequote haya maneno yako hapa.Kumbe na wanaume hua wanafuatilia hii kitu?
Asili yake wapi haya mambo? au kuiga tuu?
Unaonekana ulimsumbua sana mwalimu wako darasani kwa kua na akili nzito kwenye uelewa.Nimequote haya maneno yako hapa.
Ninauliza ''Mbona Waislam mnafuatilia na kusheherekea ''MAULID'' ambayo ni sherehe ya kuzaliwa Mtume wenu Muhammad.
Unaonekana ulimsumbua sana mwalimu wako darasani kwa kua na akili nzito kwenye uelewa.
Wanaume huwa hatuimbiwi happy birthday! Achana na hayo makitu
Hapana ni wa akina BashiteNi mwanaume wa Dar mkuu!
Thank you. Be blessed.