Happy Birthday to Me, RIP Mama.

Happy birthday compact na pole sana kwa kumpoteza mama siku kama ya leo Mungu azidi kukutia nguvu zidi kumuombea Mama najua maumivu ya kumpoteza Mama
 
Happy birthday compact na pole sana kwa kumpoteza mama siku kama ya leo Mungu azidi kukutia nguvu zidi kumuombea Mama najua maumivu ya kumpoteza Mama
Ahsante Sana mama wa Fursa.

Ubarikiwe.
 
Heri ya siku yako kubwa ya kumbukumbu ya kuzaliwa Mkuu Compact, Mungu akupe maisha marefu na uweze kumtumikia, ujue kusudi la Mungu maishani mwako, akujalie Hekima na Amani.

Hongera dada/mama Neema kwa malezi mema na upendo Mungu amjalie maisha marefu na baraka.

Mama Apumzike kwa Amani, Mungu alimpenda sana na akimuhitaji Mbinguni aimbe na Malaika milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Happy birthday mkuu,

It is happy that you remember your day and it is also sad that your mum passed away.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…